Posts

Showing posts from March 26, 2026

UNYONYESHAJI WA MAZIWA YA MAMA PEKEE NA UTATUZI WA CHANGAMOTO ZAKE

Image
UNYONYESHAJI   "Thamini Unyonyeshaji, Weka Mazingira Wezeshi” (Picha kutoka mtandaoni) Unyonyeshaji ni kitendo cha kumpatia mtoto maziwa ya mama moja kwa moja kutoka ziwani. Ni njia bora kabisa ya kumlisha mtoto mchanga kwasababu: Maziwa ya mama yana virutubisho vyote muhimu kwa ukuaji wa mtoto Yana kinga dhidi ya magonjwa (hasa maambukizi ya tumbo na mapafu) Hujenga uhusiano wa karibu kati ya mama na mtoto Ni salama, safi na ya gharama nafuu Aina za maziwa ya mama Maziwa ya njano ya awali: Maziwa ya mwanzo yenye kinga mwili nyingi Maziwa ya mpito: Hutokea siku chache baada ya kujifungua Maziwa kamili: Maziwa kamili yenye virutubisho vyote. Unyonyeshaji wa maziwa ya mama pekee (exclusive breastfeeding) unapendekezwa kwa miezi sita ya mwanzo bila kumpa mtoto maji, uji na vyakula vingine HALI YA UNYONYESHAJI WA MAZIWA YA MAMA PEKEE. Tafiti mbalimbali za kidunia na kikanda zinaelezea hali ya unyonyeshaji wa maziwa ya mama pekee. Wakati baadhi ya nchi unyonyeshaji wa maz...