Afya ya Akili na uharifu katika Jamii.

Siku moja tutaandaa jukwaa litakayoelezea namna afya ya akili inavyochochea uharifu katika jamii.


Matukio mengi ya kiharifu yatokeayo kwenye jamii na yanayoripotiwa polisi yanachangiwa sana na matatizo ya kiakili ya wanajamii kuliko umaskini, tamaduni, sera na umiliki wa silaha.

Na,
Charles Msigwa.

Comments

Popular posts from this blog

KIFUA KIKUU. UPO KAMA HAUPO.

Mitindo Yetu Ya Ulaji.

Nafasi ya Maziwa katika Afya Zetu.