Ujinga Humfanya Mtu Asistaarabike!
Ukosefu wa maarifa humpelekea mtu kukosa ustaarabu unaohitajika katika jamii au ustaarabu unaotarajiwa binadamu auonyeshe. Na sio tu mtu hushindwa kustaarabika akiwa mbele ya wanajamii lakini pia akiwa peke yake. Tabia zinazoweza kukwaza watu wengine au kuleta athari kwake na kwa jamii.
Mfano mwepesi uvutaji wa sigara hadharani au hata kwenye maficho. AMKA TAFUTA MAARIFA
#ATM2020
#againstignorance #againstviolence
Comments